9# 1Nya 6:36-39; 25:31; Ufu 5:8; 1Nya 9:33 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu,wanawe na jamaa zake, | 12 |
Ya pili ikamwangukia Gedalia,yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, | 12 |
10Ya tatu ikamwangukia Zakuri,wanawe na jamaa zake, | 12 |
11ya nne ikamwangukia Isri,#25:11 Isri jina lingine ni Seri.wanawe na jamaa zake, | 12 |
12ya tano ikamwangukia Nethania,wanawe na jamaa zake, | 12 |
13ya sita ikamwangukia Bukia,wanawe na jamaa zake, | 12 |
14ya saba ikamwangukia Yesarela,#25:14 Yesarela jina lingine ni Asarela.wanawe na jamaa zake, | 12 |
15ya nane ikamwangukia Yeshaya,wanawe na jamaa zake, | 12 |
16ya tisa ikamwangukia Matania,wanawe na jamaa zake, | 12 |
17ya kumi ikamwangukia Shimei,wanawe na jamaa zake, | 12 |
18ya kumi na moja ikamwangukia Azareli,#25:18 Azareli jina lingine ni Uzieli.wanawe na jamaa zake, | 12 |
19ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia,wanawe na jamaa zake, | 12 |
20ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli,wanawe na jamaa zake, | 12 |
21ya kumi na nne ikamwangukia Matithia,wanawe na jamaa zake, | 12 |
22ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi,wanawe na jamaa zake, | 12 |
23Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania,wanawe na jamaa zake, | 12 |
24ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha,wanawe na jamaa zake, | 12 |
25ya kumi na nane ikamwangukia Hanani,wanawe na jamaa zake, | 12 |
26ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi,wanawe na jamaa zake, | 12 |
27ya ishirini ikamwangukia Eliatha,wanawe na jamaa zake, | 12 |
28ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri,wanawe na jamaa zake, | 12 |
29ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti,wanawe na jamaa zake, | 12 |
30ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi,wanawe na jamaa zake, | 12 |
31# Ufu 4:4; 5:8; 11:6 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri,wanawe na jamaa zake, | 12. |
Kiswahili Contemporary Version (Neno: Biblia Takatifu)
Copyright ©1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.® Used by permission.
All Rights Reserved Worldwide Printed.
Learn More About Neno: Bibilia Takatifu 2014