Zaburi 117
NEN

Zaburi 117

117
Zaburi 117
Sifa Za Bwana
1 # Za 22:23; 103:2; Rum 15:11 Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2 # Za 17:7; 103:11; 119:90; 146:6 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Bwana unadumu milele.
Msifuni Bwana.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Biblia Takatifu)

Copyright ©1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.® Used by permission.

All Rights Reserved Worldwide Printed.

Learn More About Neno: Bibilia Takatifu 2014