Zaburi 134
NEN

Zaburi 134

134
Zaburi 134
Wito Wa Kumsifu Mungu
Wimbo wa kwenda juu.
1 # Za 130:6; 113:1; 135:1, 2; Ufu 19:5; Lk 2:37; 1Nya 15:2; 23:30; Hes 16:9 Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana,
ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana.
2 # Za 33:2; 103:1; 28:2; 1Tim 2:8 Inueni mikono yenu katika pale patakatifu
na kumsifu Bwana.
3 # Za 124:8; 20:2; 128:5; Law 25:21 Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia,
awabariki kutoka Sayuni.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Biblia Takatifu)

Copyright ©1984, 1989, 2009, 2015 by Biblica, Inc.® Used by permission.

All Rights Reserved Worldwide Printed.

Learn More About Neno: Bibilia Takatifu 2014