Ayu 25
SUV

Ayu 25

25
Bildadi Anena: Mtu Awezaje kuwa Mwenye Haki Mbele za Mungu
1Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema,
2Enzi na hofu zi pamoja naye;
Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.
3 # Mwa 1:3-5,14-16; Zab 19:4-6; 139:8,11; Mt 5:45; Yak 1:17 Je! Majeshi yake yahesabika?
Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?
4 # Ayu 4:17; 9:2; Zab 130:3; 143:2; Rum 3:19,20 Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu?
Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke?
5Tazama, hata mwezi hauangazi,
Wala nyota si safi machoni pake;
6 # Zab 22:6 Siuze mtu, aliye mdudu!
Na mwanadamu, ambaye ni buu!

Swahili Union Version (SUV): © Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya, 1952, 1997. All rights reserved. lt/pgt ltpgtSwahili Union Version (SUV): Hakimiliki -1952, 1997: kwa: Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.

Learn More About Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia