Zab 133
SUV

Zab 133

133
Baraka za kuwa na Umoja
Wimbo wa kupanda mlima.
1 # Mwa 13:8; 1 Kor 1:10 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,
Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
2 # Kut 30:25 Ni kama mafuta mazuri kichwani,
Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,
Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 # Kum 4:48; 28:8; Law 25:11; Dan 12:2,3; Mt 25:34,46; Yn 4:14; 17:3; Ebr 7:25; 1 Yoh 5:20 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni.
Maana ndiko BWANA alikoamuru baraka,
Naam, uzima hata milele.

Swahili Union Version (SUV): © Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya, 1952, 1997. All rights reserved. lt/pgt ltpgtSwahili Union Version (SUV): Hakimiliki -1952, 1997: kwa: Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.

Learn More About Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia