Zab 134
SUV

Zab 134

134
Sifa ya Usiku
Wimbo wa kupanda mlima.
1 # Law 8:35; 1 Nya 9:33; Zab 130:6; Lk 2:37 Tazama, enyi watumishi wa BWANA,
Mhimidini BWANA, nyote pia.
Ninyi mnaosimama usiku
Katika nyumba ya BWANA.
2 # Zab 28:2; 1 Tim 2:8 Painulieni patakatifu mikono yenu,
Na kumhimidi BWANA.
3 # Zab 124:8; 128:5 BWANA akubariki toka Sayuni,
Aliyezifanya mbingu na nchi.

Swahili Union Version (SUV): © Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya, 1952, 1997. All rights reserved. lt/pgt ltpgtSwahili Union Version (SUV): Hakimiliki -1952, 1997: kwa: Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya. Haki zote zimehifadhiwa.

Learn More About Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia