3
21 Taarifa hiyo ilitakiwa ibandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo.
22 Kwa amri ya mfalme, tangazo hili lilitolewa katika mji mkuu wa Susa, nao matarishi wakalitangaza katika mikoa yote. Mfalme na Hamani walikaa wanastarehe pamoja wakati watu mjini Susa wanafadhaika.