9# 1Nya 6:36-39; 25:31; Ufu 5:8; 1Nya 9:33 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, | 12 |
Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, | 12 |
10Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
11ya nne ikamwangukia Isri,#25:11 Isri jina lingine ni Seri.wanawe na jamaa zake, | 12 |
12ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
13ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
14ya saba ikamwangukia Yesarela,#25:14 Yesarela jina lingine ni Asarela.wanawe na jamaa zake, | 12 |
15ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, | 12 |
16ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
17ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, | 12 |
18ya kumi na moja ikamwangukia Azareli,#25:18 Azareli jina lingine ni Uzieli.wanawe na jamaa zake, | 12 |
19ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
20ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, | 12 |
21ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
22ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
23Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
24ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
25ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, | 12 |
26ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
27ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
28ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
29ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, | 12 |
30ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
31# Ufu 4:4; 5:8; 11:6 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, | 12. |
Kiswahili Contemporary Scriptures (Neno: Maandiko Matakatifu)
Copyright © 2018 by Biblica, Inc.®
All Rights Reserved Worldwide.
Learn More About Neno: Maandiko Matakatifu