2
Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni
(Nehemia 7:4-73)
1 #
2Nya 36:20; Neh 7:6; 11:3; 2Fal 24:16; 25:12; Ezr 5:8; 6:2; Es 1:1; 8:9 Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2#1Nya 3:19; 6:14; Hag 2:4; Zek 3:1-10wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):
Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
3#
Ezr 10:25; Neh 3:25 wazao wa Paroshi |
2,172 |
4wazao wa Shefatia |
372 |
5#
Neh 6:18
wazao wa Ara |
775 |
6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) |
2,812 |
7wazao wa Elamu |
1,254 |
8wazao wa Zatu |
945 |
9wazao wa Zakai |
760 |
10wazao wa Bani |
642 |
11wazao wa Bebai |
623 |
12wazao wa Azgadi |
1,222 |
13#
Ezr 8:13; 7:18 wazao wa Adonikamu |
666 |
14wazao wa Bigwai |
2,056 |
15wazao wa Adini |
454 |
16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) |
98 |
17wazao wa Besai |
323 |
18wazao wa Yora |
112 |
19wazao wa Hashumu |
223 |
20#
Yos 9:17
wazao wa Gibari |
95 |
21#
Mik 5:2; 1Nya 2:51; Rut 1:19; Mt 2:6; 2Sam 21:2; Mwa 35:19 watu wa Bethlehemu |
123 |
22wa Netofa |
56 |
23watu wa Anathothi |
128 |
24watu wa Azmawethi |
42 |
25wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi |
743 |
26#
Yos 18:25; 1Sam 7:17; Yer 31:15 wazao wa Rama na Geba |
621 |
27watu wa Mikmashi |
122 |
28#
Mwa 12:8
watu wa Betheli na Ai |
223 |
29wazao wa Nebo |
52 |
30wazao wa Magbishi |
156 |
31#
Ezr 2:7
wazao wa Elamu ile ingine |
1,254 |
32wazao wa Harimu |
320 |
33wazao wa Lodi, Hadidi na Ono |
725 |
34#
Kum 34:3; 2Nya 28:15; 1Fal 16:34 wazao wa Yeriko |
345 |
35wazao wa Senaa |
3,630 |
36 #
1Nya 9:10; 24:7 Makuhani:
wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) |
973 |
37#
1Nya 24:14; Ezr 10:20 wazao wa Imeri |
1,052 |
38#
1Nya 9:12; Ezr 10:22 wazao wa Pashuri |
1,247 |
39#
1Nya 24:8
wazao wa Harimu |
1,017 |
40 #
Mwa 29:34; Hes 3:9; Ezr 3:9 Walawi:
Wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) |
74 |
41 #
1Nya 15:16
Waimbaji:
42 #
1Sam 3:15; 1Nya 9:17 Mabawabu wa lango la Hekalu:
wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai |
139 |
43 #
1Nya 9:2
Watumishi wa Hekalu:#2:43 Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).
wazao wa
Siha, Hasufa, Tabaothi,
44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,
45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,
46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,
47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,
48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,
49wazao wa Uza, Pasea, Besai,
50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,
51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,
53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,
54wazao wa Nesia na Hatifa.
55 #
1Fal 9:21
Wazao wa watumishi wa Sulemani:
wazao wa
Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,
57wazao wa Shefatia, Hatili,
Pokereth-Hasebaimu na Ami.
58#
1Fal 9:21; Ezr 7:7; Yos 9:21-27; 1Nya 9:2 Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Sulemani |
392 |
59 #
Hes 1:18
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
60wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda |
652 |
61 #
2Sam 17:27; 1Fal 2:7 Kutoka miongoni mwa makuhani:
Wazao wa
Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
62 #
Hes 16:39-40; 3:10 Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 63#Neh 8:9; Hes 18:9-11; Kut 28:30; Law 2:3-10Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.#2:63 Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.
64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65#2Sam 19:35tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66#Isa 66:20Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720.
68 #
Kut 15:2
Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000#2:69 Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500. za dhahabu, mane 5,000#2:69 Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900. za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.
70 #
1Nya 9:2; Neh 11:3-4 Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.