Obadia UTANGULIZI
SCLDC10

Obadia UTANGULIZI

UTANGULIZI
Kijitabu hiki cha nabii Obadia ni kidogo kuliko vitabu vyote vya manabii. Unabii wa Obadia unahusu mambo mawili: Adhabu ya Edomu (aya 1-14), na “Siku ya Mwenyezi-Mungu” ambapo Waisraeli watalipiza kisasi watu wa Edomu (aya 15-21). Labda kijitabu hiki kiliandikwa huko Yuda muda mfupi kabla ya kurudi kutoka uhamishoni.

Swahili Common Language DC Bible: Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki © Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya, 1995, 2001. Haki zote zimehifadhiwa.  

Learn More About BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA