Zaburi 117
SCLDC10

Zaburi 117

117
Kumsifu Mungu
1 # Taz Rom 15:11 Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu!
Enyi watu wote mhimidini!
2Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu;
uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele!
Msifuni Mwenyezi-Mungu!

Swahili Common Language DC Bible: Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki © Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya, 1995, 2001. Haki zote zimehifadhiwa.  

Learn More About BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA